Thursday, September 23, 2010

KAMPENI


Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe akilia na wananchi wa Moshi

juu ya umaskini uliokithiri wakati wa kuomba kura kwao. MAmbo bado yanaendelea!!!

1 comment:

Anonymous said...

Mhhhh Mzee wa Blog hii hebu jaribu kuwa makini kidogo. Haiwezekani picha moja iwakilishe sehemu mbili tofauti. Picha hii umeiweka kwa Slaa alipokuwa Moshi, na pia umeiweka hapa alipokuwa Kyela. Which is which???? Msitufanye tunaosoma blog zenu sote tuna akili za kuku!!!! Inabidi utuombe radhi wasomaji wako kwa Uchakachuaji huu uloufanya hapa.