Thursday, September 23, 2010

ZANZIBARI NJEMA YAKHE!!!Mgombea Urais wa zanzibar kupitia chama cha Alliance for Tanzania Farmers Party, Said Soud (kushoto) akiteta jambo na Katibu Mkuu wa chama hicho, Rashid Ligania Rai.

Kisha akapanda kipando kwenda katika kasmpeni nabaadae akanadiwa.

Zanzibar kampeni za anasa chache yakhe, suala ni kuongoza tu basi huku bara……

No comments: