Tuesday, October 05, 2010

BARCLAYS BONANZA

Siku ya Bonanza la Barclays ili kuwa moto kwani timu mbalimbali za vitengo vya benki hiyo vilijumuika katika michezo mbalimbali. Mchuano ulikolea na ilikuwa furaha kwani wengine walicheza, wakashangilia na wengine wakanengua kiduku bila kusahau Vuvuzela. Mwisho wa siku Intergrator walishinda overall kama Mkurugenzi Mtendaji Kihara Maina anavyoonekana akimpatia kikombe Kepteni wa timu hiyo, Hongera Wafanyakazi wa Barclays bank Tanzania..

No comments: