Thursday, October 21, 2010

NYARANDU AUNGURUMA JIMBONI

Alipokelewa kwa furaha na wananchi wake alipotembelea wapiga kura kujinadi.
Akakutana na wapiga kura wa baadae wakiwa na wazazi na wananchi wengine katika kijiji cha Minyaaa.
Wazee wakampa kibuyu cha zawadi sijui kwa ajili ya kinga ama mila tu?
Baadae Lazaro akajieleza mbela ya wananchi nini alifanya na nini anatarajia kuwafanyia katika miaka mitano ijayo ili wamfanyie mambo Oktoba 31.

No comments: