Monday, October 25, 2010

NYARANDU JIMBONI

Wataalamu wa ngoma za kinyaturu wakitumbuiza!
Kumbe hata lazaro Mtaalamu wa Ngoma asilia.
Watoto nao walijitokeza kusikiliza akimwaga sera!
Ikabidi kusomesha hata viongozi wa dini wajue muelekeo.WWengine walikaa mjengoni kumsikiliza.
Pamoja na kuwa ilikuwa kijijini lakini Nyomi ilikuwepo tu!


Harakati za mgombea ungunge katika jimbo la Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu anaendelea kujinadi katika kata ya Merya. anaendelea kupasua anga!!!

2 comments:

Anonymous said...

Acheni usenge kupuplish picha za kupika haya magombea yenu hayakubaliki huku majimboni mnakodi watu shame upon you !!!

Anonymous said...

upo juu kaka yangu. ila unqniudhi tu pale ambapo unashindwa kutulia mjengoni wakati wa Bunge session