Tuesday, October 25, 2011

ALSHAABAB NA MABOMU NAIROBI



Sijaelewa bado kama hawa wasoma;li wana hasira na jeshi la Kenya ama sisi watu wa kinywaji, mbona wanalipua baa na vibomu na kuua walevi?

Mpaka sasa wameua mtu mmioja na kujeruhi 22 watano ndio bado mahututi.



1 comment:

Anonymous said...

BROTHER HUO NI UBAGUZI WALA HATUTAKI KITU HIKI KATIKA SOCIETY TETU YA TANZANIA, WEKA KITU KIELEWEKE KWA WATU WOTE. "UKIWEKA HII NI KWA WANYAKYUSA TU INAMAANISHA NINI?" INA MAANA SISI WENGINE TUSIJUE AU HATUNA HAKI YA KUELEWA KINACHOANDIKWA KWENYE BLOG YA JAMII? HAYO MAMBO NDIO YALIOLEATA UTATA RWANDA NA BURUNDI. KAMA WEWE NI MKABILA HATUKUTAKI KATIKA JAMII YETU!

MDAU STOCKHOLM
SWEDEN