Mama Salma Kikwete hakujua kwamba kuhudhuria sherehe za King Mswati wa Swaziland kutafuta jiko jipya kungemletea noma kwa wanaojiita wanaharakati wa haki za wanawake. Hapa anaonekana akiwa na mfalme huyo kidume na mama yake kabla ya kuchagua jiko jipya!
No comments:
Post a Comment