Wednesday, September 13, 2006

KICHAPO
Mwaka mmoja na siku tatu zilizopita ndio siku Mzee wa Sumo(Kulia na Kindanka walipata mkong'oto na askari Magereza na kesi bado ziko mahakamani, sijui kitaeleweka?

NAMKUMBUKA
Mmoja wa Askari magereza aliyepachika singe ya tako akinifuata na bunduki yake siku hiyo, Sijui jela inakuwaje kwa jamaa zetu kama askari ndio kama hawa!!!!!!!!!!!!?

4 comments:

Jeff Msangi said...

Hivi hii kesi iliishaje?Au ndio mambo ya "uchunguzi unaendelea"?Naomba updates tafadhali.

Mzee wa Sumo said...

Kesi ziko mbili mahakamani moja ya jinai wameshtakiwa na Jamuhuri mimi nimewashtaki kudai fidi ya sh300m sijui watanipa maana mawakili waserikali hawataki hata kuja mahakamani!

NDABULI said...

Mzee wa Sumo pole sana we endelea kudai fidia mpaka kieleweke. Mimi langu ni hiyo picha juu naona kama kuna Basi linatengenezwa nje ya hizo nyumba. Naona haya ndio mabasi yanayochinja watu maana kama inavyoonekana hapo kweli kazi itafanyika ya kiwango bora?

Anonymous said...

wasenge nyie mngekufa mnazamia zamia tu katika maeneo yasiyoweahusu tena ningelikuwa mimi ningewapa kichapo cha nguvu.