Wednesday, September 27, 2006

KIFARU WA BONGO!



Mzee wa Sumo akiwa na mwanae Ngurdoto Arumeru hivi karibuni ni sehemu yenye mandhari njema kupoteza mawazo mara moja kwa mwaka ingawa ni ghali!

3 comments:

Vempin Media Tanzania said...

mzee hapa unacheza na moto yaani unacheza na kifaru akikugeukia je si itakuwa balaa. Any way hii safi sana inapaswa mtu ukiwa na senti kidogo unaenda huku

boniphace said...

Mpoki yaani huyu mtoto atakusababishia kifo siku moja yaani kalazimisha hadi kwenda kushika huyo mnyama mkali. Kazi kwelikweli hapa nacheka mwenyewe tu nikukumbuka vituko vyake siku alipoingia Mwananchi na kuanza kufungua mafaili ya makala katika kompyuta.

Anonymous said...

mpoki huyo mwanao ndiye yule aliyetumbikiza mobile yako kwenye ndoo ya maji, eeh amekuwa kweli, sasa una wangapi, msalimie sana mkeo, m. komanya