Tuesday, September 26, 2006

MMASAI HALISIA


Kwa kawaida wamasai asili yao ni kufuga na hapa Waziri Mkuu Edward Lowassa anadhihirisha hilo kwa kuangalia ng'ombe katika ranchi yake huko Tanga. Ingawa serikali imekuwa mstari wa mbele kuwataka wafugaji kuanza kufuga ng'ombe wa kisasa, lakini mzee anafuga walewale kwa mamia!

No comments: