MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA
Mama huyu anashindw akuamini baada ya kubomolewa kwanyumba liyokuwa kiishi katika bonde la Jangwani na uongozi wamkoa wa Dar es salaam, sijui aklilala wapi zaidi y akuishia kulia nje ya iliyokuwa nyumba yake.
INATISHA
Wakati wananchi wengine wanalala nje baada ya kubomolewa nyumba zao wengine wanakumbw ana maradhi ya ajabu ambayo bado haijajulikana kama ni surua ama Rubella lakini yote ni magonjwa tu.Nasikia hata dawa hazijapatikana bado na watanzania zaidi ya 300 wameshaupata wakubwa kwa wadogo.
2 comments:
huh hii ni dalili ya utawala wa ajabu ajabu huwezi kumruhusu senior citizen kama huyu ajenge kijumba chake tena cha mbavu za mbwa kisha kesho yake ukakipiga teke hiyo ni nini sasa kama siyo carelessness
maradi ya namna hii huko kwa walami yaliisha enzi zile sisi bado tunayo sijui tatizo letu nini
Post a Comment