KILIMANJARO ON FIRE
Mzee wa kichagga akionyesha sehemu ya milim amkubwa kuliko yote Afrika, Kilimanajaro ukiteketezwa kw amoto hivi karibuni vijana wa kujitolea wamefanikiwa kuutuliza moto huo hata hivyop umechoma zaidi ya hekta 500 za misitu. Kam atungekuw amatajiri tungezima moto huu kwa ndege lakini vijana walitumia majani kuzima kama mopto wa nyumbani!
No comments:
Post a Comment