MZALENDO!
Rais Jakaya Kikwete Akiongoza watanzania kushangilia timu ya Taifa, kwa mara ya kwanza watanzania walionesha uzalendo baada ya miaka mingi tokea Nyerere amalize kutawala kwa mfumo wachama kimoja.
TUNAKUBALI
Hata viongozi wa vyama vya siasa walijiunga na Kikwete kuweka mbele utaifa, Mpambano ni jukwaani tu.
WASIMAMIZI WA SHERIA
Polisi wakiwa wanamtazama mtoto wa miaka mitano akicheza ma chombo cha moto. Sijui mpaka waje wa Usalama barabarani?
TUKO WOTE
Msichana wa siku nyingi akionyesha uzalendo na nchi yake kama wazee wanaweza vijana tunashindwa nini?
1 comment:
Kwa nini anaruhusiwa kuchezea chombo bila helmet?
Post a Comment