Thursday, October 05, 2006

UJUMBE WA WAMACHINGA!



Vijana waliotimuliwa mitaani wakiwa na ujumbe kwa Rais Kikwete katika soko la Mchikichini ambako walihamia baada ya kufurumishwa mitaani.

3 comments:

Anonymous said...

Huu ndo usenge wenyewe tunaousema hivi unawezaje kuwatimua watu na kisha kuwahamishia sehemu kama hii ambapo wanafanya biashara kwa vurugu, nina uhakika hawa watarudi tu ngoja baada ya mwezi moja hali itakuwa ile ile.

Anonymous said...

Hivi hawa hawajiulizi tuu chanzo na mzizi mkuu wa kuwa na machinga. Hawaondoki hawa wamachinga kwa kuwafukuza, hata kwa moto hata wangeuawa watarudi tu. ukitaka watu hawa waondoke dawa yake ni kuwapa shule na huduma nzuri za jamii hukoo wanakotoka.

Anonymous said...

Ujumbe huo kwenye bango unasemaje? Tusaidie maana nimeshindwa kusoma.