Usafiri mikoani Tanzania bado ni ya mchanganyiko wa watu na mizigo kama ndugu zetu wa mkoani ruvuma wakionekana wakianza safari kutafuta maisha!
6 comments:
Anonymous
said...
Hapa mzee unanikumbusha kwetu Mahenge masikini huu ndo usafiri wetu, hivi mshkaji hapa ni maeneo ya wapi? Hivi ajali ikitokea katika usafiri wa namna hii nani wa kulaumiwa?
kaka hii noma hii sijui umeipiga lini hivi magari yenye namba za namna hii bado yapo barabarani, nad hani huu ni uzembe wa hali ya juu haiweezekani gari ambalo halina namba halali likabeba abiria tena kupita kiasi.
Hapo umenikumbusha home kabisa. Hiyo gari inapanda mlima maeneo ya Ruvuma, mara tu baada ya kupita daraja la mto Ruvuma ukitokea Majengo. Huo mji unaouona kwa nyuma ni Majengo na hilo gari linanyosha kuelekea Mhukuru au Mpitimbi. Si masihara wakubwa
du! watu wameshindwa kufahamu picha hiyo imepigwa wapi. lakini picha hiyo imepigwa zamani katika kilele cha kilima cha Lizaboni katika barabara itokayo mwembechai baada ya kuvuka ile mito miwili ya mwembechai na ruvuma. na nyuma ni mpangilio wa nyumba za maeneo ya Mabatini na mfaranyaki kule sehemu za chini ambako kwa watu wa zamani wanajua kuwa kulijengwa klabu ya kwanza ya pombe kabla ya kujengwa upya pale mabatini karibu na uwanja wa zimanimoto.

Lakini mi nadhani hapa ni Songea au siyo braza ili eneo mimi nalifananisha sana na kule Songea.
Mzee wa Sumo asante kwa kutupa uhondo. aisee picha itunzee hii. siku ya exhibition ambayo naandaa nitaihitaji. bomba kichizi

Post a Comment