Wananachi wakihangaika baada ya barabara kuharibika na kufanya mamia ya magari ya bairia na mizigo kukwama kwa siku kadhaa. Kazi bado ipo!
1 comment:
Anonymous
said...
Hari hii imekuwa siku nyingi ikinifanya nishindwe kuelewa suala la mipango, i.e. kwa sisi Tanzania kipi ni National priority na kipi ni Personal priority? Nadhani tunakuwa tunajisahau sana ktk kupanga hasa ktk kuweka mazingira thabiti ya kupunguza umasikini.

Post a Comment