Tuesday, October 23, 2007

CHEKA KISPOTI


Mshikaji ni maarufu kama Zinadine Zidane Mchaza mpira mahiri kipindi chake, lakini kwa sasa amekumbwa na ugonjwa wa kifafa na kupoteza fahamu kiasi kwamba anawez akufanya vitu akifikiriwa ni mwizi. Amekula kibano mara nyingi na sasa amekuw akama mlemavu. Umaskini ni balaa!

No comments: