Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa akionyesha mkakati wa NGO yake ya MKapa Fellows ambayo amezindua hivi karibuni, pamoja na jitihada zake za kufikisha huduma za afya vijijini kwa kutuma madaktari katika zaidi ya wilaya 23 nchini bado anashutumiwa na watu mbalimbali katika mtiririko wa kashafa za ufisadi! Amegoma kujibu, amestaafu!
No comments:
Post a Comment