Thursday, October 11, 2007

HISIA ZA JUU!

Mwanamama wa kabila la Kigogo akitumbuiza wenzake na huku mwenyewe akisikilizia midundo katika kijiji cha Chalinze mkoa wa Dodoma. pamoja na ugumu wa maisha lakini bado watu wanaserebuka kiaina!

No comments: