Thursday, October 11, 2007

MTANZANIA HALISI

Tunapozungumzia watanzania, hawa ndio wenyewe sio kama sisi tulioko mijini nakufukiri kuwa maisha ni kama peponi wakati wenzetu zaidi ya asilimia 60 hawana maji wala umeme. Hawajawahi kusikia hata Joti na Mpoki ni wakinanani!

No comments: