Thursday, October 11, 2007

MJASILIAMALI


Mshikaji akiweka sawa vinyago vyake ambavyo hata hivyo vinakosa soko kwa wabomgho labda kwa wazungu wanaotembeklea nchi. Kazi za mikono kwa wenzetu zinalipa zaidi lakini wabongo wanapenda maplastiki kutoka China!

No comments: