Thursday, October 11, 2007

JALALANI HADI IKULU

Rais Jakaya Kikwete kiwa na mtoto Mohamed nyumbani kwake Ikulu Dar es Salaam. mtoto huyo yatima alitupwa na mama yake na mke wa rais alimkuta kituo cha kulelea watoto na kuamua kumlea.

No comments: