Wakazi wa Nyumba inayodaiwa kuwa ya Ditopile wakiweka vyombo vyao katika gari baada ya mtu aliyeuziwa nyumba hiyo kuivunja wakati wakiwa ndani na hivyo kulazimika kuhama katika maeneo ya Ilala mtaa wa Morogoro na Moshi. Matatizo ya makazi yanazidi kuongezeka jijini Dar es Salaam kila siku1
No comments:
Post a Comment