Tuesday, October 16, 2007

OLDONYO LENGAI

Mlima huu ndio unavyoonekana kwa sasa ikiwa unatoa vumbi, watu wameariwa kuondoka lakini bado wapo maeneo ya jirani, sijui Lava ikilipuka itakuwaje?

No comments: