Thursday, October 25, 2007

MAISHA BORA

Watoto wakifanya kazi ya kubeba matofali mkoani Morogoro, sasa kwa hali hii ni kwamba maisha yao yataboleshwa baadae ama wataendelea na mzigo kama huu kwa maisha yao yote? Wabuni sera zwetu wanasemaje?

No comments: