Jamani nisameheni kwa hizo picha, kwani nilipoweka nilidhani kuwa mngependa kuona jinsi ajali ilivyokuwa mbaya. na kwa kuwa ailikuwa usiku nilishindwa kuomba radhi kwa picha hizo, ingawa sidhani kama ni mbaya sana kama ambazo zijazitumia.
Nimejifunza kuweka tu picha kutoa sijui ngoj amtaalamu mshauri wangu aje tuziondoe! Thanks everybody for ya concern!
1 comment:
Usikonde na wala usijali kaka, sisi wengine zimetusaidia kuona jinsi ajali ilivyokuwa mbaya, hao ambao hawakutaka kuziona hawajalazimishwa na mtu kwa hiyo ni hiari yao kuangalia au kutoangalia. wala usisumbuke kuzitoa.
Post a Comment