Kijana wa kibongo maarufu kama nyoka akiwa ndani ya shimo akitafakari jinsi ya kupata mawe ya bluu (Tanzanite) huku akiwa na tochi ya spare ili apate jiwe!
Ukiwaona sura zao utajua tu kuwa wanaishi kwa matumaini hawajui siku wala saa ya kupata jiwe na kutoka.
Kazi ni pale wanapoingia shimoni kwa ajili ya Bingo zaidi ya 120 wanashuka kupiga mzigo katika shimo finyu.
Lakini kwa wawekezaji bwana achana nako, jamaa wanachimba kwa mashine tena na vitochi vya kizungu jiwe linaonekana tu hata ikiwa mita 600 chini ya ardhi. Vifaa viko fiti kichizi sijui kwanini wabongo wanashindw akutafuta madini kama hivi.
No comments:
Post a Comment