Wednesday, October 24, 2007

Ni simanzi na huzuni kwa msiba huu lakini kwa sasa imekuwa usiku sana nadhani natakiw akupumzika lakini tutazidi kuhabarishana kwa kila kinachoendelea! taarifa zaidi zitapatikana kesho kwani mawasiliano ni magumu kidogo.
Kwa habari zaidi zenye uhakika kuhusiana na ajali hii soma Mwananchi.Ciao.

No comments: