Saturday, October 27, 2007

MAZISHI

Jeneza la Marehemu Salome Mbatia likiingizwa kaburini leo.
JK akiweka mchanga kumzik awaziri wake

Mapadre wakimwombe marehemu baad aya misa iliyoendeshwa na askofu Amedius Msarikie

No comments: