Monday, October 29, 2007

MIUNDO MBINU YA BINGO



Jamaa wakimpeleka mama mjamzito Hospitali katika maeneo ya Morogoro Vijijini ili aweze kupata huduma za afya, Hali ya usafiri na umbali kutoka zahanati bado ni kikwazo kwa mam ana mtoto wa Bongo! Sasa kama ni hivi operesheni inawezekana?

No comments: