Monday, October 29, 2007

MOTO MOTO!!!!

Usiombee ukapata ajali ya moto ukiw akatika Highway za bongo labda kama unaenda Mbeya kuwe na mto karibu gari lazima liteketee! Hapa hakikuokolewa kitu, tena jira ni na Morogoro manispaa!

No comments: