Monday, October 29, 2007

MISHA YA bUSHI


Mzee wa Mkkuranga mkoani Pwani akiwa ametulia na fegi yake baada ya kazi za shamba, wanadai watu wa vijijini wanaishi maisha ya raha kuliko ya mjini kwani mawazo ni ya kula tu, hakun avitu vya kumiss!!!!!

No comments: