Monday, October 29, 2007

ZITTO AANZA KUKIONA

Zitto Kabwe akiingia DSM alipotoka Dodoma baada ya kufungiwa na bunge, leo ameonja joto ya jiwe baada ya polisi mkoa wa Kilimanjaro kumzuia kufanya mkutano wa hadhara kwa madai ya kuwa mkutano utasababisha vurugu!

No comments: