Wednesday, October 24, 2007

MKUTANO CCM


Yaani kumbe hata magodown yakifanyiwa ukarabati huwa safi! huu ndio ukumbi wa mkutano Mkuu wa CCM Kizota Dodoma ukiwa hatua za maandalizi, tutawaletea ukikamilika kabla ya mkutano, ila kama hauna feni kubwa wala AC! kutakalika kweli?

No comments: