Wednesday, October 24, 2007

KIPANYA DESIGN

Kwa sasa watanzania wameanza kufanya vitu vyao kama Masoud Kipanya alivyoamua kuanzisha brand yake ya KP ambayo sasa iko sokoni pale Millenium Towers. Picha zaidi zinakuja!

No comments: