Wednesday, October 24, 2007

DODOMA KUTISHA KABLA YA CCM

Mafundi wakichimba mashimo kwa ajili ya kuweka milingoti ya taa za barabarani kwa ajili ya maandalizi ya mkutano mkuu wa CCM utakaofanyika mapema Novemba. Mikutano hii ingekuwa inafanyika kila mwaka Dodoma ingetisha!

No comments: