Wednesday, October 24, 2007

Kunyoosha vidole

Mzee wa Kasri la mwanazuoni alikuwa mchangiaji sana wa kuanzisha blog lakini kwa sasa nashangaa tokea arejee nchini ameisahau hiyo kitu, sijui US kulikuwa na computer faster zaidi? Tumkuumbushe arejee mtandaoni.

No comments: