Tuesday, October 23, 2007

USAFIRI KAFIRI

Mkuu wa Mkowa Moro alipotembelea Kilombero ilimlazimu kukodi baiskeli, kumbe
anaweza kuitumia sasa Shangingi za nini kwa wazee?

No comments: