Kama umewahi kufika Dodoma utakubaliana na mimi kuwa sasa mji umebadilika, na unatisha wakati wa usiku! Huu ni mtaa wa Kuu ambao ni mkubwa mkoanmi Dodoma ukiwa na taa za barabarani tushukuru Mkutano Mkuu wa CCM, nadhani kama hali ni hivi siku ingine mikutano hii ifanyike Kigoma ama Sumbawanga!!!!! Ina wezekana!
1 comment:
Mkubwa tunaomba picha zaiid za leo hukoo dodoma za waheshimiwa kikwet
sumaye na wengine tup matukio mKUBWA
Post a Comment