Thursday, November 01, 2007

MALORRY

Jana Jana kulikuwa na kimbembe pale kituo kikuu cha mabasi ch aUbungo kwakuwa mabasi karibu yote yaendayo mikoani yalizuiliwa kwa ukaguzi ili kugundua yenye chesis za malorry. Wananchi walilalamikia sana lakini zaidi ya asilimia 80 yalikuwa hayafai kubeba abiria kwakuwa yalikuwa malory.

Nilishwangaa baadae nikiwa njiani Kuelekea Dodoma maeneo ya Gairo katika kituo cha mafuta cha Alsaeidy Bus kulikuwa na basi linalotengenezwa bodi huku kukiwa na lorry lingine likisubiri kuchinjwa!

No comments: