Sunday, November 04, 2007

SISTER V ANATISHA

Mtangazaji wa radio Uhuri, Violet Mzindakaya akijieleza mbele ya wajumbe, anatisha kwani anaonyesha ana chance kubwa za kuukwaa unNEC.

4 comments:

Anonymous said...

nadhani sasa chama kinakuwa cha koo chache. haya yetu macho.

Anonymous said...

Nampongeza Siste V kwa kukinyakuwa kiti hicho. Naona kwenye picha hii anajieleza kwa confidence

Anonymous said...

The United Kingdom of TZ... YETU MIMACHO...

Anonymous said...

kazi ipo!ongera mama kwa kushinda pale ambapo wazito wameshindwa,nadhani jina na tough ya mzee kwa asilimia 100%imechangia!kaza buti uzibe pengo la Amina Chifupa.