Wednesday, November 28, 2007

BANDARI SALAMA

Bandari ya Dar es Salaam lango kuu la biashara nchini Tanzania, kumekuwa na msongamano bandarini hapo na watu kulalamikia kuchelewa kutoa bidhaa zao. Kuna haja ya kuipanua bandari hii ama kujenga nyingine?

No comments: