Wednesday, November 28, 2007

BIDHAA FEKI


Siku hizi wajannja bongo wanafanyiziwa kama ukiagiza bidhaa feki uuzie watu wanazifanya hivi! Haya mabalbu feki kutok achina yakiangamizwa inadaiwa vifaa feki vya umeme ndio chanzo cha mioto mingi majumbani.

No comments: