Sunday, December 02, 2007

KIMBEMBE

Usiombe mwanafunzi ajifanye mjanja kwenye daladala, atakula kibao kama huyu kulia ambaye aligombewa na konda na dereva hata tingo!
Lakini mambo yanazidi kuwa matamu wakati konda anampa kibano dogo kuna jamaa wanakomba mfuko wake! Huu ni Mji Bongo Dar es Salaaam!

1 comment:

Anonymous said...

Bro,

Nimekoma na hii picha. Naomba umpelekee Ndugu Jeff Msangi ili aiweke kama picha ya wiki juma lijalo.

Asante na kila la kheri kwenye shughuli zako.

F MtiMkubwa Tungaraza.