Sunday, December 02, 2007

UPUPU

Kwa waliotembelea miko ya kusini wanawez akujua binti huyu anaandaa nini! Hii sio pombe ya kienyeji bali kuna msosi unaitwa Upupu! uko kama maharage lakini ili iliwe maji yanatakiwa yamwagwe mara kadhaa!

No comments: