Tuesday, December 04, 2007

DARAJA LA MUNGU

Kwa mtu aliyefika Tukuyu Mkoani Mbeya anaweza kujua hii sehemu katika mto kiwira, inaitwa Daraja la Mungu, halikutengenezwa na mtu bali mto unapita chini ya mwamba. Ni kivutuo kikubwa kama kingetangazwa!!!!!!

No comments: