Tuesday, December 04, 2007

BUSH KWETU

Hapa ndugu na jamaa wamekuja kutulaki tukiingia bush maeneo ya Tukuyu, Mbeya kwenda kusafisha nyota!
Baada ya kufika lazima mambo ya mulo kwa wageni huandaliwa ikiwa ni pamoja na utamaduni kidogo (ng'ombe huchinjwa kwa mkuki wa babu!)
Then kunakuwa na kinywaji kidogo kwa ndugu, jamaa na marafiki! ebu imagine maisha bila whisky wala beer!

No comments: