Tuesday, December 04, 2007

VITEGEMEZI NDANI YA BUSH!

Hapa ndio vitegemezi vyangu vilikuwa vinajichana kibushbush kwa kula kitimoto na ndizi, Vivian likuwa anawazia chumvi wakati wenzake wanamanga!
Wanaume wanafyeka yeye anaendelea na chuimvi tu!
Hakuna Televisheni mchezo ulikuwa ni bao tu, yaani ingekuwa hivi kila siku shuleni wangepata marks za juu!
Ukitaka kutalii bush usafiri kama huu ndio unafaa!

1 comment:

Anonymous said...

Kaka mbona simuoni wifi Lily hapo?