
Wanyama wa Taifa letu, Twiga wakiwa wamejipumzisha katika barabara ya kuingia Mbuga ya wanyama ya Ruaha. Ingawa kun ambuga zaidi tya 14 Tanzania lakini watu wengi huzijua Serengeti Manyawa na nyingine za kaskazini.

Inagwa watalii sio wengi kama kwa mbuga za kaskazini lakini Ruaha kuna mvuto wa aina yake na aina nyingi za wanyama.

Ukileta mchezo tembo waliokoswakoswa na majangili huwa wakali na mara nyingine wanaweza kukufanyizia. Angalia huyo mwingine wamemng'oa pembe! watu bwana!

Hata wabomgo hujinafasi kwakutembelea mbuga hizo na kuna kambi nzuri za bei ya kuridhisha zenye utulivu kwa kupumzisha akili.
No comments:
Post a Comment