Saturday, January 19, 2008

MAPAMBANO YA UKIMWI POLISI

Inspekta Jenerali wa Polisi aongoza kupima VirusiMkuu wa jeshi la Polis Tanzania akipima Ukimwi wakati wa uzinduzi wa kampeni ya mapambanodhidi ya ugonjwa huo katika jeshi hilo leo.

Kila askari aliyekuwepo alikuwa na hamu ya kujua afya yake, wewe msomaji tayari umepima?

No comments: